Pumzika kwa amani Kapteni Komba!

MamuAfrica inasikitika kwa msiba wa mbunge wa Mbinga Magharibi na msanii Kapteni John Komba. Natoa pole kwa ndugu, jamaa,marafiki na taifa kwa ujumla kwa msiba huu mzito.

Kaptein Komba atazikwakesho kijijini kwake Lituhi. Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi.

0 Maoni:

Toa Maoni