Baada ya kupungua uzito mapaja ya Jeniffer Hudson yakongoroka

Baada ya kufanikiwa kupunguza unene uliokuwa unamkabili kwa msaada wa wataalamu wa mambo ya uzito hatimaye Jeniffer Hudson amefanikiwa kupungua mwili kwa kiasi kikubwa lakini anakabiliwa na tatizo la nyama za mapajani kulegea  japo mwenyewe haoneshi kujali kutokana na mavazi yake yanayomuonyesha mpaka hizo sehemu.
Sehemu ya mapaja ya Jennifer inayoonesha ngozi iliyokongoroka

Inawezekana kutokana na kupungua uzito kwa haraka kukawa ni moja ya sababu ya ngozi ya Jeniffer kulegea.

0 Maoni:

Toa Maoni