Happy birthday M-rap Lion & One B

Leo  Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka hapa Tanzania kijana mdogo M-Rap anasherekea miaka kadhaa tangu kuzaliwa kwake lakini pia Kutoka Times fm One B 'Moko biashara' pia anasherekea birthday yake.
One B mzee wa Trending Africa
M- rap Lion
May Happiness, Peace and Joy Surround You Always..Happy birthday!!

0 Maoni:

Toa Maoni