Kupitia mtandao wa Instagram Ray C alipost picha Hii yenye ujumbe muhimu chini yake..
Ray C atuma ujumbe mzito kwa jamii
Mwanamuziki Rehema Chalamila au Ray C baada kuwa fit sasa kiafya ametoa ujumbe mzito kwa jamii kuhusu matumizi ya madawa ya kulevya, jinsi ya kupata tiba endapo umeathirika na utumiaji sambamba na kutoa shukrani kwa Raisi wa Jamuhuri ya Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete.
Kupitia mtandao wa Instagram Ray C alipost picha Hii yenye ujumbe muhimu chini yake..
Mungu ni mkubwa sana..wote hawa tuliokaa hapa tuliathirika na madawa ya kulevya na Tumepona kwa kunywa dawa ya moja tu inayoitwa Methodine inayopatikana Muhimbili na Mwananyamala pekee na ni bure kabisa.Tunamshukuru sana Mh Jakaya Mrisho Kikwete kwa kutuletea dawa hii,Ningependa kuwashauri walioathirika iwe wewe,ndugu yako,rafiki,kaka,dada,mjomba ,jirani au yeyote aliye karibu na wewe Usiogope amua tu kwamba unataka kupona,nenda kanywe dawa hii utapona kabisa..
Kupitia mtandao wa Instagram Ray C alipost picha Hii yenye ujumbe muhimu chini yake..

0 Maoni:
Toa Maoni