Jana Nyumbani lounge kulikuwa na party ya kumkaribisha aliyekuwa mshiriki wa BBA The chase Feza Kessy lakini pia kulikuwa na uzinduzi wa video ya wimbo wa mwanadada Lady JayDee unaofanya vizuri kwa sasa Yahaya.
Zifuatazo baadhi ya picha za yaliyojiri..
 |
| Feza alisindikizwa na rafiki yake Vanesa Mdee |
 |
| Feza akipata burudani |
|
|
 |
| Feza alitumbuiza wimbo wake pia Amani ya moyo |
 |
| Jide alikamua pia |
 |
| Umati |
 |
| Video ya Yahaya ikazinduliwa |
 |
| Epharaim Kibonde na Captain G Habash |
 |
| ClifordMario Ndimbo na Kibonde |
 |
| Edna alikuwepo |
 |
| One B 'Moko Biashara' alikuwepo |
 |
| Na mimi nilikuwepo ku show love |
Tisha Sana mama Cole naisubiri iachiwe rasmi niicheki mbona itakamata jiji mama
ReplyDelete