Hatimaye Kim K aonekana hadharani

Baada ya kujifungua watu wamekuwa na hamu ya kumuona Kim Kardashian na Mtoto wake North,imefikia hatua ya baadhi ya wamiliki wa mitandao na vyombo vya habari huko majuu wamejitolea kuahidi dau nono ili wawe wa kwanza kupata picha  lakini Kim na Kanye wameweka mgomo baridi!

Kim na mtoto wake wamehudhuria mazishi ya babu yake Kanye West huko Oklahoma jumamosi August 17.Portwood Williams, ambaye ni babu yake Kanye yaani baba wa marehemu mama yake alifariki August 10 akiwa na umri wa miaka 97.
Naona bi dada figure imerejea mahala pake baada ya uzazi
Kim na bintiye

0 Maoni:

Toa Maoni