Akon na Yvone Nelson kucheza movie moja Hollywood

Staa wa muziki kutoka Senegal na boss wa label ya Convik music Akon anatarajiwa kuonekana katika movie moja na mwanadada mrembo na muigizaji mashuhuri kutoka nchini Ghana Yvone Nelson inayotengenezwa Hollywood Marekani chini ya Djimon Hounsou raia wa Benin lakini amezaliwa Amerika ambaye ni mwigizaji na mwanamitindo.

Movie hiyo ambayo haina jina mpaka sasa iko katika matengenezo bado huko Marekani na Yvone Nelson ali-share baadhi ya picha za utengenezaji wa movie hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram.
Yvone na Akon
Yvone na Djimon Hounsou
Yvone na Viva Bianca

0 Maoni:

Toa Maoni