Huddah atuhumiwa kuvuta bangi

Mwanadada asiyeishiwa vituko na aliyekuwa mshiriki wa BBA The chase kutoka Kenya Huddah Monroe amepost picha mtandaoni ikimuonesha akivuta kitu kinachosemekana ni bangi na kusema mashabiki wake wasimuige maana yeye sio role model wa mtu yeyote!
Siku za nyuma Huddah aliwahi kupost picha inayoyafanana na hiyo lakini alikana kuvuta bangi na kudai alikuwa anatumia zamani kutokana na mambo ya kidaktari na keshaacha.
"I used to smoke weed. It was under prescription my doctor had given me but now i don’t smoke weed." Alisema Huddah.

0 Maoni:

Toa Maoni