Ajali kazini:Toni Braxton avukwa na kivazi jukwaani na kubaki na wazi

Kilichomtokea Toni Braxton ni balaa!! Fikiria uko jukwaani mbele ya umati wa watu bila kujua nguo inakuvuka au inaachia na kuacha makalio wazi bila wewe kujua tena unajiachia mwenyewe kwa mbwembwe zote..si majanga? Ndicho kilichomtokea Toni Braxton alipokuwa akipafomu kwenye onyesho lake huko New Jersey Marekani.

Bila kujua hitilafu hiyo,akiwa jukwaani Toni nguo yake iliachia kwa nyuma na kufanya abaki wazi kwa muda mrefu maana ndani alitinga G-string mpaka alipotokea shabiki wa kiume alipomstiri kwa koti! Cheki video hapo chini..  

Umeshajiuliza ungekuwa wewe yamekukuta haya ungefanyaje?

0 Maoni:

Toa Maoni