Picha ya siku: Victoria Kimani hair do

Mwanamuziki kutoka nchini Kenya,dada wa msanii Bamboo na first lady wa Chocolate city Victoria Kimani ana muonekano mpya baada ya kuweka weaving ya gharama ya rangi ya purple.Hot or not?

0 Maoni:

Toa Maoni