Micharuko 'waliolala' na wanaume wengi na kuweka rekodi

Msichana mrembo mdogo mwenye umri wa miaka 21 Ania Lisewka kutoka Poland ameanza ziara ya kutembea nchi na miji mbalimbali duniani ili afikishe rekodi aliyojiwekea ya kufanya mapenzi na wanaume 100,000 (laki moja)!
Ania
Kwa mujibu wa vyanzo vya habari hii Anie ana boyfriend wa kudumu ambaye wako katika mahusiano ya ukweli kabisa ila amesha fanya mapenzi na wanaume 284 mpaka sasa akianzia na miji ya nchini kwake huko Poland.

''Nataka wanaume kutoka Poland,Europe na duniani kote..Napenda kufanya mapenzi,wanaume na kupatga furaha,Poland darasa la mapenzi bado ni mila na yoyote anyetaka kutimiza haja zake anachukuliwa kama muhuni au ana tatizo la akili'' alisema Anie.

Anie ili kufanikisha na kukamilisha zoezi lake tayari amefungua page katika facebook na tovuti ili kuwasiliana na watu mbalimbali duniani kote watakaovutiwa na ishu hiyo.

Wakati huo huo mwanamke anayefahamika kwa jina la Lisa Sparks (anayeonekana kwenye picha hapo chini) anashikilia rekodi ya dunia kwa kwa kufanya mapenzi na wanaume wengi kwa siku moja.

Ameshalala na wanaume 919 kwa muda usiopungua masaa ishirini na nne!
Rekodi hiyo ilikuwa inashikiliwa na wanawake wawili mmoja wao ni aliyelala na  na wanaume 759 kwa siku kabla ya kutokea Lisa Sparks na kumpindua..dunia ina mambo!

Kwa kuongeza ushahidi wa hayo,kamera sita zilitumika kwa uangalifu kurekodi matukio hayo.

0 Maoni:

Toa Maoni