Huku akiwa ametinga vazi lake lenye mvuto,Ritha aligeuka kivutio jina lake lilipotajwa kama mshindi wa tuzo hiyo.
Ritha Dominic anyakuwa Tuzo
Jumapili September 01 mwanadada kiwango kutoka kiwanda cha filamu nchini Nigeria yaani Nolywood Ritha Dominic alidhihirisha umahiri wake alionao mpaka sasa kwenye mauzo baada ya kunyakuwa Tuzo ya Best Lead Actress katika Nigeria entartainment Awards tuzo zilizofanyika New York.
Huku akiwa ametinga vazi lake lenye mvuto,Ritha aligeuka kivutio jina lake lilipotajwa kama mshindi wa tuzo hiyo.
Huku akiwa ametinga vazi lake lenye mvuto,Ritha aligeuka kivutio jina lake lilipotajwa kama mshindi wa tuzo hiyo.

.jpg)
0 Maoni:
Toa Maoni