Akitoa utetezi baada ya kuulizwa kulikoni rapper huyo amedai amejisikia tu kufanya hivyo na wala hajutii kitendo hicho! Kituko cha mwaka
VIDEO: DMX anaswa akizunguka uchi hotelini kama kadata
Video inayomuonyesha rapper DMX akizunguka kwenye korido ya hoteli akiwa kavaa boxer fupi na soksi na baadae kuivua na kubaki uchi imenaswa na kupitia mtandao wa habari za mastaa huko mbele TMZ ikaanikwa live!
Akitoa utetezi baada ya kuulizwa kulikoni rapper huyo amedai amejisikia tu kufanya hivyo na wala hajutii kitendo hicho! Kituko cha mwaka
Akitoa utetezi baada ya kuulizwa kulikoni rapper huyo amedai amejisikia tu kufanya hivyo na wala hajutii kitendo hicho! Kituko cha mwaka

0 Maoni:
Toa Maoni