Nimegundua kina dada huwa wanapagawa sana wanapoona wasanii wanaowazimia wakivua mashati halafu kama wana body iliyojengeka!
Cheki mabinti walivyopagawa katika tamasha Canada P square walipokuwa wanatumbuiza baada ya kuvua mashati.
 |
| P square walivyokuwa Canada wakitoa burudani..cheki mabinti walivyopagawa! |
Sukari ya warembo Diamond mara nyingi anapokuwa jukwaani anapenda kuvua shati kitu kinachowafanya mabinti kudata na kifua chake.
 |
| Mwenyewe anajua pa kuwashika |
Ney wa Mitego alishawahi kukiri nilipozungumza nae katika kipindi cha Hatua Tatu cha Times fm na kusema anapokuwa jukwaani halafu akavua shati mabinti wanachanganyikiwa..tena wengine wanaomba kushika kifua chake!
 |
| Nani mkali |
 |
| Diamond na Ney wakifanya yao |
Watu wanadata na kifua six parts
ReplyDelete