PICHA: Azonto live in Dar ilivyofunika

Jumamosi mkali kutoka Ghana Fuse ODG alidondosha burudani kwa mara ya kwanza Tanzania huku akisindikizwa na wasanii kibao kutoka Tanzania.

Cheki picha za yaliyojiri usiku huo wa Azonto live in Dar.
H Baba na Menina
Menina
Wakali dancers
Dj Kobo
Fuse ODG


Gosby
H Baba
Jux, M rap Lion na Pancho

M Rap Lion akikamua
Mabeste na Deddy
Madee na Chid Benz

Mapacha

Sam Misago na wenzake
Snura
Tundaman
Vanessa Mdee
Wakazi
Mzee mwenyewe wa Azonto kutoka Ghana Fuse ODG

1 comment: