PICHA: Wasanii katika maandalizi ya Azonto live in Dar

Yakiwa yamebaki masaa machache kabla ya burudani iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu ya Azonto live in Dar kuanza,maandakizi yanaendelea katika Viwanja vya Ustawi wa jamii,Kijitonyama.

Hizi ni picha za matukio yanayoendelea kule.
Banana Zoro
Wakazi
H baba
Aika na Nahreel
Aika,Nahreel na Vanessa Mdee
M Rap Lion na Dogo Janja
Maandaizi yakiendelea

3 comments: