Wajawazito wasaula kutangaza biashara

Inaweza kushangaza ila yote ni mambo ya kibiashara ambapo mama wajawazito wameanika matumbo yao hadharani ili kutangaza biashara ya nguo za ndani za designer maarufu nchini Nigeria Uyo Okebie-Eichelberger!

Cheki picha jinsi maonyesho hayo yalivyokuwa,

0 Maoni:

Toa Maoni