Soma siri ya penzi la Kanye na Kim kudumu

Kanye amezungumza na BBC Radio na kutoa siri inayosababisha yeye na Kim kudumu na mahusiano yao kuendelea kuwa mazuri.

Anasema Kim yupo katika hali nzuri haitaji  kuomba hela kitu ambacho ni kigumu kwa wanawake wengi..''Ananipa kila kitu, kanipa familia na ananipa sapoti pia'' alisema Kanye.

Kwa wale mademu wa mizinga hii inawahusu sana..kama unataka kudumu na mpenzio punguza mizinga lol!

0 Maoni:

Toa Maoni