Mapenzi nje ya BBA ni motomoto..

Kuna kipindi ilisambaa picha inayomuonesha mshiriki wa BBA The Chase kutoka Zimbabwe Hakeem akishare kiss na mshiriki mwenzake kutoka Kenya Huddah tena wakiwa uchi wakati wako katika fainali za BBA Afrika kusini kitu kilichoibua hisia huenda 'walibanjuka' na swali likabaki vipi kuhusu Cleo akitoka kwenye jumba na kushuhudia picha hiyo kutakuwa na mapenzi tena? (Icheki picha iliyozua gumzo hapo chini)
Well,sasa inaonekana Hakeem na Cleo wamesameheana na wanaendeleza penzi lao hebu cheki picha walizo-share wakiwa pamoja.

Lakini si Hakeem na Cleo (Hacleo) tu ndio wanaendeleza malovedove nje ya BBA mwanadada Pokello kutoka Zimbambwe na Elikem kutoka Ghana (Polikem) nao mambo si mabaya mapenzi ni motomoto..Hivi karibuni Elikem alitua Zimbabwe na kupata mapokezi ya nguvu ukweni na utambulisho rasmi na baada ya hapo ikawa zamu ya Pokello kutua Ghana.
Feza na Onell (Oneza) pia nao mambo ni motoo! Feza ndio katua siku chache tu kutoka Botwsana alipokuwa kwa muda ambapo ni kwa shemeji.

0 Maoni:

Toa Maoni