Tajiri azika gari la thamani ili akalitumie akifa

Mwanaume Tajiri mfanyabiashara 'Count Scarpa' mwenye umri wa miaka 62 ametoa kali ya mwaka baada ya kulizika gari lake jipya la kisasa aina ya Bentley lenye thamani ya dola za kimarekani 310,000   ili atakapofariki awe na maisha mazuri huko anakoenda!

Anasema aliwahi kuangalia documentary ya mafarao wa Misri ambapo walizika mali zao zote ili kuwa na maisha mazuri na salama watakapokufa ..nikavutiwa'' Alisema Scarpa  (ina maana wanaamini wakifa wataendeleawatatumia mali zao walizozika)!!

0 Maoni:

Toa Maoni