Nyota Ndogo amesema hayo baada ya kukamilisha nyumba yake ya kisasa aliyokuwa anajenga. ambayo kwa mujibu wake ina nafasi ya kutosha na ni ya kisasa.
Nyota Ndogo adondosha mjengo wenye studio ndani
Mwanamuziki wa kitambo kidogo Nyota Ndogo anatarajia kufungua studio itakayokuwa ndani ya mjengo wake huko Voi nchini Kenya.
Nyota Ndogo amesema hayo baada ya kukamilisha nyumba yake ya kisasa aliyokuwa anajenga. ambayo kwa mujibu wake ina nafasi ya kutosha na ni ya kisasa.
Nyota Ndogo amesema hayo baada ya kukamilisha nyumba yake ya kisasa aliyokuwa anajenga. ambayo kwa mujibu wake ina nafasi ya kutosha na ni ya kisasa.

0 Maoni:
Toa Maoni