Wakati huo huo Kanye amewakasirisha waumini wenye imani ya kikristo baada ya kumpandisha jukwaani mwanaume anayefanana na Yesu kabla ya kutumbuiza wimbo wake Jesus Walks kwenye tour aliyofanya siku ya jumamosi.
Baada ya kumdhihaki Yesu Kanye aumbuka..
Mchumba wa mwanamitindo Kim Kardashians, Kanye West weekend iliyopita vazi alilovaa lilimuumbua baada ya kuchanika!
Wakati huo huo Kanye amewakasirisha waumini wenye imani ya kikristo baada ya kumpandisha jukwaani mwanaume anayefanana na Yesu kabla ya kutumbuiza wimbo wake Jesus Walks kwenye tour aliyofanya siku ya jumamosi.
Wakati huo huo Kanye amewakasirisha waumini wenye imani ya kikristo baada ya kumpandisha jukwaani mwanaume anayefanana na Yesu kabla ya kutumbuiza wimbo wake Jesus Walks kwenye tour aliyofanya siku ya jumamosi.

0 Maoni:
Toa Maoni