Justin Bieber adondosha mvua ya pesa club ya wacheza uchi!

Mwanamuziki mdogo tu mwenye miaka 19 lakini mwenye vituko vikubwa Justin Bieber amemwaga ma-dolar (mapesa) kwenye club ya usiku ya wacheza uchi  huko Houston Texas baada ya kuvutiwa na jinsi wanavyomwaga radhi!

Cheki picha jinsi dogo alivyodondosha mvua ya pesa!

0 Maoni:

Toa Maoni