PICHA: Kanye apiga usingizi kwenye birthday ya Kim
October 21 mwanadada Kim Kardashian alitimiza miaka 33 na katika kusherekea siku hiyo muhimu alifanya party Tao Nite club huko Las Vegas akiwa na familia pamoja na mchumba wake Kanye West ambaye ameonekana katika baadhi ya picha akiwa ameuchapa usingizi wakati bata zikiendelea!








0 Maoni:
Toa Maoni