PICHA: Lady Gaga 'awehuka'..anakoelekea si kuzuri!

Mwanamuziki mwenye vituko visivyoisha kila kukicha Lady Gaga anapoelekea ni kubaya jamani! Bidada huyu aligeuka kituko kutokana na vazi lake alipotua London kwa ajili ya kutumbuiza kwenye X-Factor UK.

Lady Gaga alionekana katinga vazi jeupe kama joho jepesi sana huku ndani akionekana mtupuu tena miguuni akiwa pekupeku!


Mamu Africa blog inakupa nafasi ya kucheki picha zake alipotua London na kukutana na kamera za mapaparazi!

0 Maoni:

Toa Maoni