Uzee mwisho Chalinze..mama Kim K aopoa Serengeti boy!

Baada ya kuripotiwa kutengana na mume wake waliodumu kwa miaka 22 Bruce Jenner,mwanamama Kris Jener mama Kim Kardashian ameonekana na dogodogo anayeitwa Ben Flajnik mwenye miaka 27 huku yeye akiwa na miaka 57 kweli uzee mwisho Chalinze!


Ijumaa iliyopita mama huyo wa watoto sita Kris Jenner alionekana akimfanyia shopping serengeti boy wake huko Los Angeles kabla ya kukwea pipa kuelekea Las Vegas kusherekea birthday ya mwanae Kim alipotimiza miaka 33.



0 Maoni:

Toa Maoni