Dunia ina mambo..wanandoa mnaweza kufanya hivi!?

Wanandoa hawa wameamua kusherekea siku yao ya ndoa kwa keki ya ajabu yenye kiapo kuwa mpaka kifo kiwatenganishe 'till death do us apart' .

Keki hiyo yenye sura zao inayowaonyesha wakiwa wamekatwa vichwa na kuvuja damu! Unaweza kutengeneza keki ya aina hii kusherekea siku yako ya ndoa??

0 Maoni:

Toa Maoni