Kwa mujibu wa ripoti,Conrad Murray aliachiwa kutoka kwenye jela ya LA jumatatu October 28 ambayo ni jana.
Dakari wa Michael Jackson atoka jela
Aliyekuwa daktari wa mfalme wa Pop marehemu Michael Jackson,Conray Murray ambaye alikuwa jela baada ya kuhukumiwa kifungo cha miaka 4 kwa kosa la kuzidisha dozi katika dawa kitu kilichopelekea kifo cha Michael Jackson ametoka jela.
Kwa mujibu wa ripoti,Conrad Murray aliachiwa kutoka kwenye jela ya LA jumatatu October 28 ambayo ni jana.
Kwa mujibu wa ripoti,Conrad Murray aliachiwa kutoka kwenye jela ya LA jumatatu October 28 ambayo ni jana.

0 Maoni:
Toa Maoni