Ciara avishwa pete ya uchumba..

Mwanamuziki Ciara sasa ni rasmi mchumba wa mtu baada ya mpenzi wake rapper Future ku-propose na kumvisha pete ya uchumba ya Diamond katika sherehe yake ya kuzaliwa akiwa anatimiza miaka 28.

Future anasema anampenda sana Ciara na anahusika kwa kazi nzuri za muziki zilizomrudisha Ciara katika ramani mwaka huu.Wapo katika uhusiano wa kimapenzi toka mwezi January. Kabla ya hapo aliwahi kutoka kimapenzi na 50 Cent & Bow wow.

Naona kuna style mpya sasa ya watu ku-propose siku ya birthday....msifanye mabinti ikifika siku za birthday waandae vidole halafu waambulie patupu lol!

0 Maoni:

Toa Maoni