PICHA: Wanafunzi wapagawa na Diamond Mlimani city!

Kupitia website ya This is Diamond,staa huyo ame-share picha zizoonyesha wanafunzi walivyochanganyikiwa baada ya kumuona!

Soma alichoandika na picha alizo-share.

'Wakati mwingine natamani hata moyo
wangu ungefunguka japo kwa dakika tu!, mkatazama ni kias gani na appreciate, nafurahi na kushkukuru kwa upendo wenu kwangu...siku zote husema,
usipoweza kushkuru kwa kidogo hata ukipewa kikubwa huwezi kushkuru... na ndiomaana kila mnipacho sichoki
kuwashukuru.. napenda niwashukuru saana wanafunzi na wadogo zangu walioonyesha mapenzi ya hali ya juu,nikiwa ndani ya Mliman city Asanteni sana!'


0 Maoni:

Toa Maoni