Mama yake na Rambo aukataa uzee,cheki 'alivyopigilia'!


Mama wa muigizaji mashuhuri na wa siku nyingi Sylivester Stallone maarufu kama Rambo,Jackie Stallone mwenye miaka 92 ameonyesha jinsi gani uzee haumsumbui na kumfanya ashindwe kunyuka pamba kali pamoja na kujipodoa.


 Hivi karibuni mama huyo ameonekana akiwa ametinga kimini cha haja huku akiwa kajipigilia vipodozi vya uhakika ukiachilia mbali umri wake! Cheki picha...

Mwaka uliopita bibi huyu alishawahi kukiri kufanyiwa Cosmetic Surgery ili kuendelea kuboresha muonekano wake. Jamani uzee mwisho Igunga mjini kila mtu baby, haijalishi una umri gani muonekano mzuri ni muhimu!


0 Maoni:

Toa Maoni