PICHA YA SIKU: Karrueche na Chriss Brown wakielekea mahakamani..
Mpenzi wa Chris Brown ambaye wamekuwa wanaachana na kurudiana mara kwa mara,Karrueche Tran akishow love kwa kumsindikiza mahakamani juzi huko Washngton DC.
Ni Mtangazaji, Mwandishi, Blogger na Mama wa mtoto mmoja. Karibu katika kijiwe cha habari motomoto, burudani na udaku.
0 Maoni:
Toa Maoni