Hili vazi la safari hii alilotinga Lady Gaga ni kiboko!

Mwanamuziki Lady Gaga bado anashika namba ya mbele linapokuja swala zima la mavazi ya ajabu na kushangaza baada ya kila mara kuja na kali zaidi!

Cheki vazi hili ambalo Gaga kalitinga hivi karibuni..

0 Maoni:

Toa Maoni