Justin Bieber alitajwa kushinda tuzo ya ‘Fan Choice’ kwa mara ya nne katika tuzo hizo za nyumbani kwao Canada, lakini baada ya kutajwa watu walisikika wakizomea huku wengine wakishangilia.
Hata hivyo, mwimbaji huyo hakuwepo ukumbini hapo na hivyo tuzo yake kuchukuliwa kwa niaba yake. Baadae Justin alitweet kuonesha furaha yake kwa kushinda tuzo hizo.
“We won #JUNOFanChoice for the 4th year in a row! Love to all my biliebers. Thank u. love u (sic).” Ilisomeka tweet ya Justin Bieber.

0 Maoni:
Toa Maoni