Si kwamba ilikuwa rahisi kama unavyofikiri..jamaa huyualikutana na wakati mgumu sana baada ya watu kumshambulia sana kiasi cha kufikia kujitetea kwenye mtandao baada kuandika na ya ku-post hii..
![]() |
| "God why would ou allow people to mock me like that? Am I not your child? Then who created me?" |
“ Son amour ne connaît pas de frontières barrières du temps et de la distance” Kwa kingereza maana yake ni“His love knows no barriers boundaries of time and distance “
Hizi ni picha za Joji Baro...






0 Maoni:
Toa Maoni