Kim Kardashian aonyesha nguo za ndani hadharani!

Mwanadada mrembo na mpenzi wa rapa Kanye West,Kim kardashian ameanika umbo lake zuri ndani ya gauni la lace alilotinga alipotinga kwenye show ya Seth Meyer na kufanya nguo yake ya ndani nyeusi kuonekana bila kificho.




0 Maoni:

Toa Maoni