Naomi Campbell: Kuacha kuvuta sigara ngumu bora pombe!

Pamoja na umri wake kuwa mkubwa kwa sasa.mwanamitindo Naomi Campbell mwenye miaka 43 ametokelezea katika muonekano wenye mvuto katika Shape magazine ya mwezi April.


Pamoja na mengi,Naomi pia kazungumzia jinsi ilivyo vigumu kuacha kuvuta sigara tofauti na alivyofikiri.. ''Watu waliniambia kuacha sigara ni ngumu kuliko pombe..sikuamini,lakini unajua nini? Ni ngumu sana. Mimi sio mtu wa kutaka kuvuta ndani ya nyumba za watu na hata kwangu, sitaki kusimama kwenye kona za mitaani tena ..bado najitahidi kuacha japo ni ngumu'' Amefunguka mwanamitindo huyu wa kimataifa.

Hivi ukitaka kuacha kuvuta sigara kama tayari ushakuwa mvutaji nunda kuna njia gani rahisi inayoweza kusaidia?

0 Maoni:

Toa Maoni