Kama wakumbuka mwaka jana Jim Iyke alimchukua Nadia na kuzunguka nae pande mbalimbali za dunia kwa ajili ya kusherekea siku yake ya kuzaliwa na ku-share picha wakiwa Spain,kisha Jim aka-propose kwa Nadia...basi tukio hilo la kimahaba limerushwa kwenye show Tv ya Jim inayoitwa Jim Iyke Unscripted huku ikionekana akiwa amemdondoshea pbidada pete ya gharama ya Almas!
Cheki picha ya tukio lilivyokuwa..





0 Maoni:
Toa Maoni