PICHA: Baby shower ya Ciara aloandaliwa na Kim kardashian na mastaa wengine

 
Mwanamuziki Ciara na mchumba wake Future wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza hivi karibuni. Jumamosi mastaa wenzake wakiwemo Kim K  na Kris Jenner walimuandalia baby shower kwenye  private residence huko California.


Cheki baadhi ya picha ya tukio lilivyokuwa.
Kris Jenner
Kim Kardashian
Ciara mwenyewe
Ciara na Kris
Baba na mama kijacho.. Future na Ciara
Mazawadi

0 Maoni:

Toa Maoni