Kutana watoto 6 wa P Diddy wakiwa katika pozi la pamoja.

 
Rapa mwenye mwenye mkwanja mrefu P.Diddy au Puff Dad (44) amesherekea Pasaka huku aki-share picha akiwa na watoto wake sita amabao amewapata kutoka kwa wanawake watatu tofauti.

Kutana na watoto hao wakiwa wamepozi katika picha ya pamoja na baba yao ambao ni Christian, Jessie James, D’Lila Star, Chance, Justin, and Quincy..

0 Maoni:

Toa Maoni