Lupita ameonyesha furaha yake kutokana na hilo kwa kusema anathamini na kushukuru sana kwa hilo
Lupita Nyongo atajwa kuwa mwanamke mrembo zaidi kwa mwaka 2014!
Mshindi wa Tuzo za Oscar ,mwigizaji aliyejizolea umaarufu sehemu kubwa duniani kwa muda mfupi, Lupita Nyongo kutoka nchini Kenya ametajwa kuwa ni Most Beautiful woman 2014 (Mwanamke mrembo zaidi) na 'People
magazine huku akitokea kwenye kurasa ya mbele zaidi.
Lupita ameonyesha furaha yake kutokana na hilo kwa kusema anathamini na kushukuru sana kwa hilo
Lupita ameonyesha furaha yake kutokana na hilo kwa kusema anathamini na kushukuru sana kwa hilo

0 Maoni:
Toa Maoni