Harusi yake na star wa kikapu Kris Humphries iliyofanyika Montecito California August 20 2011 iliyodumu kwa muda mfupi na kuacha gumzo mpaka leo, Kim K alivaa gauni zuri la Vera Wang huku kwenye nywele zake akifunga mtindo uliogeuka mashuhuri kwa kinadada wengi.
Katika harusi yake na Kanye West iliyofnyika May 24 mwaka huu Kim K alivaa gauni la harusi la Givenchy huku nywele zake kazibana nusu na zilizobaki akaziachia kitu kilichotoa muonekano tofauti. Kwa mtazamo wako ni harusi gani Kim kaitendea haki kwa kutoka bomba zaidi?





0 Maoni:
Toa Maoni