Picha nyingine za Kanye, Kim na familia wakiwa kwenye harusi ziko hapa..

Kupitia mtandao Instagram, Kim Kardashian ametupia picha nyingine za familia wakiwa kwenye vazi la harusi,zicheki hapo chini.



Kanye,Kyle,Khloe,Kortney,Kris Jenner na Kendal....nahisi mpiga picha alikuwa Kim maana haonekani kwe picha

0 Maoni:

Toa Maoni