Kanye West amechukizwa na Jay Z kutohudhuria kwenye harusi yake na Kim Kadashian.
Wakati wa show wikiendi iliyopita kwenye X Games, Kanye aliamua kuacha kuimba jina la Jay Z ambalo limo katika mashairi yake ya nyimbo.
Hatua hiyo inaonekana ni kuibua bifu baina ya wawili hao.
Tazama mwenyewe ujionee

0 Maoni:
Toa Maoni