Kutokana na vituko na mavazi yake ya ajabu anayovaa anapotokea kwenye event nyingi hata anapokuwa jukwaani huenda ukafikiri bidada huyu muonekano wake halisi ni kituko pia.. ukifikiri hivi utakuwa umekosea sana baada yakushuka chini na kuona picha ya Lady Gaga aliyotupia kwenye mtandao akiwa kitandani tena bila ya vipodozi…
PICHA: Unadhani Lady Gaga bila 'mazagaga' anafananaje? mcheki hapa..
Kutokana na vituko na mavazi yake ya ajabu anayovaa anapotokea kwenye event nyingi hata anapokuwa jukwaani huenda ukafikiri bidada huyu muonekano wake halisi ni kituko pia.. ukifikiri hivi utakuwa umekosea sana baada yakushuka chini na kuona picha ya Lady Gaga aliyotupia kwenye mtandao akiwa kitandani tena bila ya vipodozi…

0 Maoni:
Toa Maoni