PICHA: Rihanna akikatiza na Night dress kitaani!


Rihanna anazidi kutoa kali linapokuja swala la mavazi ambapo safari hii atinga nguo ya kulalia (night dress) na raba na kukatiza kitaani bila wasiwasi! Jionee mwenyewe..

Tuite fashion ama nini? msiige sasa na hii!

0 Maoni:

Toa Maoni