Brazuuka!! Kauli na picha mbalimbali zilizotengenezwa baada ya Brazil kula kichapo


Baada ya jana Ujerumani kuwashikisha adabu wenyeji wao Brazil kwa kuwatandika magoli saba kwa moja mashabiki wa Ujerumani wamewadhihaki wapenzi wa Brazil kwa picha mbalimbali za kuwakebehi huku mastaa wakitoa kauli mbalimbali kuhusu mechi ya jana.

Hizi ni baadhi ya picha hizo na baadhi ya mastaa walichoandika kabla na baada ya mechi hiyo...


Hii ilikuwa ni post ya Roma instagram muda mfupi kabla ya mechi
Rihanna nae akaua kabisa lol!
Katika zoote hii imenifurahisha zaidi haha!
Solange sasa kavikwa ujerumani huku shemeji mtu aki-Brazuka!

1 comment: