Tumeshashuhudia aina nyingi za tattoo ambazo watu wanachora sehemu mbalimbali mwilini na kila mtu hutumia ubunifu tofauti ili mchoro wake uwe na mvuto.
Nimekutana na hii picha kwenye mtandao ya mwanamke aliyepozi mtupu na kuonyesha tattoo zake alizochora maeneo nyeti nikajiuliza huu ni ubunifu au majanga?

0 Maoni:
Toa Maoni