French Montana aanika 'kijungu' cha bebi wake Instagram!


Iko wazi sasa kuwa Rapa French Montana ana uhusiano wa kimapenzi na Khloe Kardashian na wamekuwa wakijiachia sehemu mbalimbali sasa bila kuogopa kamera za mapaparazi.


Kupitia ukurasa wake wa Instagram jana,French alianika 'kijungu' cha mpenzi wake huyo bila hofu na kutia caption #Asssscap Je ni sahihi kwa mwanaume kuanika maeneo nyeti ya mpenzi wake hadharani kama kwenye mitandao?


0 Maoni:

Toa Maoni