Wakati vijana wengi wa kwetu wakiona swala la kufanya mazoezi ni kama adhabu,kwa wenzetu ni tofauti kabisa...kutana na mama wa staa wa Hollywood kitambo Slyvester Stallone (Rambo), Jackie mwenye miaka 92 ambaye bado ni moto wa kuotea mbali!
Si kwa sababu tu mama huyu bado anatupia vimini na kupaka make up kila anapooonekana la hasha bali anatumia muda wake mwingi kupiga tizi ili kuendelea kujiweka fiti.
‘Sipotezi muda wangu kwa kwuhudhuria sherehe za Hollywood. Unatakiwa kuwa mfano wa kuigwa kwa wakubwa na ndio ilivyo nimekuwa role model kwa mastaa wa filamu kwa miaka 50 kwa sababu wanazeeka haraka lakini mimi nazidi kuwa maarufu jinsi navyozeeka .Hollywood wanaogopa umri ila nadhani uzee unakuja tu..’Mcheki hapa akiwa mazoezini...






nampa big up huyo mama stallone
ReplyDeletesi mchezo
ReplyDelete